Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Dr. John Joseph Pombe Magufuli

   

Ujumbe Maalum wa Rais Magufuli

Magufuli 2   Rais Dkt.John Pombe Magufuli akifanyakazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam Novemba 6, 2015 ikiwa ni siku yake ya kwanza ofisini tangu alipoapishwa kuwa Rais wa awamu ya tano.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameapisha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 12,2015 picha ya pamoja baada ya kuwapishwa mawaziri wake.
John Magufuli   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka taka ndani ya kasha la Taka katika eneo la Magogoni jijini Dar es Salaam katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe 9 Desemba.